Friday, October 24, 2014

Kwa Ushauri Na Maombezi PENTECOSTAL REVIVAL CHURCH (PRC)T

          Kwa wale wenye kuhitaji ushauri namaombezi, karibu kanisani (PRC)T Kwa Askofu Amani Mwakyeja. Kwa mawasiliano zaidi ....... +255-715- 795 814. Piga au tuma SMS utajibiwa. Mungu akubariki na akupe haja ya Moyo wako. Mahali Tulipo Mbezi Msakuzi karibuni nyote na Bwana Mungu awabariki


Baba Askofu na Mchungaji Amani Mwakeja anapenda kuwakaribisha kwenye ibada zinazoendelea pale Mbezi Msakuzi  na Mungu anaonekana kwa namna ya kipee sana.

1 comment:

Upatanisho, Ukombozi &Upendo