Ile choir maalufa katika mji wa Shinyanga imekamilisha kurekodi video yao toleo la pili liitwalo Watumishi. Katika hatua za awali kabisa kazi hii imeenda sasa na mipango endelevu ya kwaya hiyo ktk kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji. Kwa upande wa kampuni iliyohusika kurekodi ambayo ni Msalaba MEDIA walipohojiwa na www.absonmhanje.blogspot.com wamesema maandalizi ya ya kurekodi albumu hiyo mhimu yalikuwa sawa hivyo wadau na wapenzi wa muziki wa injili Tanzani wategemee kupata video yenye ubora wa hali ya juu. Kwani wanasema Msalaba MEDIA daima ni Standard Quality Excellence hawakuishia hapo nwakasema kazi uliyoiona jana ni tofauti na ya kesho kwani wanaamini katika Forward We Go