Wednesday, November 12, 2014

Isaac Rajabu ni nani?





Ni mwimbaji wa nyimbo za injili Tanzania.Ambapo anasema kwamba kusudi la kuimba ni kumtangaza Kristo kupia zawadi ya kipaji alichopewa kufikisha ujumbe kwa jamii ili iweze kusaidika na mafundisho ya neno la Mungu.Mfano wimbo Toka HUKO--- ni wimbo ambao anajaribu kuieleza jamii kwamba kila mtu anamahali alipokwama ktk dhambi. Lakini maamuzi ya kutoka pale alipo lazima neema ya ki-Mungu ikujilie na kugundua kwamba ipo nguvu ya Msalaba ilinifanya niwe huru na mhusika mkuu ni Yesu KRISTO hivyo yeye alijitoa kwa ajili yangu na yako. Hivyo kuamua ni wewe kumkiri Kristo YESU kuwa ni mwokozi wa maisha yako.

 Jambo jingine amezungumzia namna vijana ambao wana vipajilakini hawajui waanzie wapi anasema"Kwani wajitoe kwa kazi ya Mungu hapo hutaikana maono. Kwanini  kwenye maono kuna nguvu ya msukumo hivyo basi kipaji kupaliliwa. Kisha mazoezi kwa nini mazoezi ili kumtumikia Mungu tunamtumikia kwa Ustadi mkubwa

Katika kumtumikia Mungu kuna faida si majuto kwani kilaq mmoja wetu ni kiungo cha kristo mimi naimba wewe unaweza ukawa unaomba, unahubiri au mwinjilisti
Hii hapa ni  Cover inayoonesha majina ya nyimbo zanu ukinunua utapata nafasi ya kusikiliza kile Bwana alichonipa kwa ajili yako
KWA MWASILIANO ZAIDI+255658208103,+255656008306   Isaac Rajab

    No comments:

    Post a Comment

    Upatanisho, Ukombozi &Upendo