Faida kubwa kuliko zote kwaa Nchi yeyote ile ni kumheshimu Mungu. Nchini Colombia kuna dini nyingi tofauti tofauti lakini wanamheshimu Mungu na kuelewa kazi na matendo yake makuu. Swali langu Tanzani lini roho hii ya kumtanguliza Mungu itaingia kwa taifa. Mungu tusaidie kama Taifa tutambue matendo yako makuu kama Taifa na si mtu binafsi