Uzinduzi wa Album Pigana Nao ni Tar 02 -11-2014. Mahali kanisani Kigogo Police Post
Msalaba Mission Menu
Saturday, November 1, 2014
Friday, October 31, 2014
Tuesday, October 28, 2014
Monday, October 27, 2014
Tamasha La Nguvu
Kwaya ya Reform Evangelical Singers ni siku yao nzuri tar 02 Novemba 2014 ambapo watakuwa wakizindua album yao ya TATU ijulikanayo kama Pigana Nao. Unakaribishwa kwa maelezo zaidi angalia POSTER hii hapa chini
Friday, October 24, 2014
UZINDUZI UZINDUZI UZINDUZI!!!
Kwaya ya Reform Evangelica Singers tar 02 Novemba Wanazindua Album yao ya Tatu inayoitwa PIGANA NAO. Mahali ni KANISANI ----- Kigogo Kanasa la Pentecostal Revival Church. Kwa Mawasiliano Zaidi Mob +255- 715 795 814 Askofu Amani Mwakyeja
Thursday, October 23, 2014
Bishop Amani Mwakyeja
Tunayo furaha ya kukukaribisha kwenye uzinduzi ya kwaya ya hapa kanisani PENTECOSTAL REVIVAL CHURCH [PRCT j pili ya Tar 02 November saa nane mchana/
Subscribe to:
Posts (Atom)