Msalaba Mission Menu
Wednesday, January 6, 2016
Tuesday, September 15, 2015
Rejoice Choir TAG Shinyanga
Ile choir maalufa katika mji wa Shinyanga imekamilisha kurekodi video yao toleo la pili liitwalo Watumishi. Katika hatua za awali kabisa kazi hii imeenda sasa na mipango endelevu ya kwaya hiyo ktk kumtumikia Mungu kwa njia ya uimbaji. Kwa upande wa kampuni iliyohusika kurekodi ambayo ni Msalaba MEDIA walipohojiwa na www.absonmhanje.blogspot.com wamesema maandalizi ya ya kurekodi albumu hiyo mhimu yalikuwa sawa hivyo wadau na wapenzi wa muziki wa injili Tanzani wategemee kupata video yenye ubora wa hali ya juu. Kwani wanasema Msalaba MEDIA daima ni Standard Quality Excellence hawakuishia hapo nwakasema kazi uliyoiona jana ni tofauti na ya kesho kwani wanaamini katika Forward We Go
Wednesday, June 17, 2015
Tuesday, June 16, 2015
Thursday, January 1, 2015
Saturday, December 20, 2014
Mwimbaji Peter Haonga asema Waimbaji Binafsi tunakosa kuaminika kwa sababu ya kupenda hela.
Huduma hii ya uimbaji ni huduma kama zilizo huduma zingine inagawa kila mtu na uelewa wake ila kuna haja kubwa jamii ielewe na kuheshimu huduma hii kama zilivyo huduma nyingine. Na siku zote adui namba moja ni wa nyumbani mwako, nasema hivi kwa sababu sisi wenyewe waimbaji kuna kunadharauliana kulingana na majina kuna misemo mingi au Lugha zinazo tumika kuweza kuweka matabaka kuna staa na underground ila tunashindwa kutambua kwamba staa wa kwanza ni Yesu sisi ni watenda kazi tu kwake. Wito wangu kwa waimbaji wenzangu tushikamane.
Katika kumtumikia Mungu kuna changamoto mbalimbali ya kwanza kwangu imekuwa changamoto kubwa ni kutukuamiwa kwa watu. Sababu kubwa ni kwamba waimbaji binafisi wanapenda sana hela kuliko utumishi. Unajua kila mtu na alivyoitwa na Mungu mimi si fanyi mziki kwa sababu ya kipato katika maisha yangu ni kwa ajili ya utumishi zaidi. Biblia ipo wazi kwa kila eneo anitumikiaye na kuniweka kuwa wa kwanza si mwacha hivyo naamini kwamba Bwana haweze kuniacha nikapungukiwa kamwe. Pili Waimbaji wakubwa kudharau waimbaji wadogo kama mnilivyo tangulia kusema hapo awali. Hii husababisha wengine kuacha huduma kabisa na huduma za watu wachanga kuwa duni. Tatu Ukosefu wa fedha pia ni tatizo inafanya mtu ushindwe kutimiza kusudi la Mungu kwa wakati huisika mziki wa Tanzani haukuwi kwa ukosefu wa fedha.
Thursday, December 18, 2014
Reform Evangelical Singers Choir- Ikiwa Watu Wangu oficial video Msalaba...
Hatimaye kwaya ya Reform Evangelical Singers Wakamilisha uandaaji wa album yao ya Tatu iitwayo PIGANA NAO. Ambayo imefanya na Msalaba MEDIA chini ya Mwongozaji Abson Mhanje. Muda si mrefu itapatikana madukani kote usikiose kuipata nakala halisi na Mungu wa mbinguni atakubariki kwa kujitoa kwako kwa ajilim ya injili .
Hakika ni furaha tupu kumtumikia Mungu.Kazi ya Bwana haina majuto kamwe ukipata nafasi ya kutumika ikiwa babo kija na shukru Mungu kwani wengi hawakupata Neema hiyo.
Nico Amani Mwakyeja
Hi hapa Vid
Hakika ni furaha tupu kumtumikia Mungu.Kazi ya Bwana haina majuto kamwe ukipata nafasi ya kutumika ikiwa babo kija na shukru Mungu kwani wengi hawakupata Neema hiyo.
Nico Amani Mwakyeja
Hi hapa Vid
Wednesday, December 17, 2014
TB Joshua at Colombia 07.27.14
Faida kubwa kuliko zote kwaa Nchi yeyote ile ni kumheshimu Mungu. Nchini Colombia kuna dini nyingi tofauti tofauti lakini wanamheshimu Mungu na kuelewa kazi na matendo yake makuu. Swali langu Tanzani lini roho hii ya kumtanguliza Mungu itaingia kwa taifa. Mungu tusaidie kama Taifa tutambue matendo yako makuu kama Taifa na si mtu binafsi
Monday, December 15, 2014
Subscribe to:
Posts (Atom)