Monday, October 27, 2014

Tamasha La Nguvu

Kwaya ya Reform Evangelical Singers ni siku yao nzuri tar 02 Novemba 2014 ambapo watakuwa wakizindua album yao ya TATU ijulikanayo kama Pigana Nao. Unakaribishwa kwa maelezo zaidi angalia POSTER hii hapa chini

Msalaba MEDIA Out come products