Friday, October 24, 2014

UZINDUZI UZINDUZI UZINDUZI!!!

Kwaya  ya Reform Evangelica Singers tar 02 Novemba Wanazindua Album yao ya Tatu inayoitwa   PIGANA NAO. Mahali ni KANISANI ----- Kigogo  Kanasa la Pentecostal Revival Church.             Kwa Mawasiliano Zaidi                                                                                                                Mob +255- 715 795 814                                                                                                                           Askofu Amani Mwakyeja

Kwa Ushauri Na Maombezi PENTECOSTAL REVIVAL CHURCH (PRC)T

          Kwa wale wenye kuhitaji ushauri namaombezi, karibu kanisani (PRC)T Kwa Askofu Amani Mwakyeja. Kwa mawasiliano zaidi ....... +255-715- 795 814. Piga au tuma SMS utajibiwa. Mungu akubariki na akupe haja ya Moyo wako. Mahali Tulipo Mbezi Msakuzi karibuni nyote na Bwana Mungu awabariki

Bishop Amani Mwakyeja Family





Sunday, October 5, 2014

Brian Kibona

Brian Kibona  Amalizia Video yake.

Daima Mungu ni Mungu Wa wale wampendao siku zote. Katika Albumu Yangu mpendwa mtazamaji wangu na msikilizaji nataka nikwambie ipo nguvu ya ajabu ndani yake kwa kinachozungumzwa ni Neno la Mungu na kwa hakika twatambua vema nguvu iliyopo ktk Neno la MUNGU.

Sunday, September 28, 2014

Neema Nsekela amaliza kurekodi video ya albumu yake iitwayo Niombeje Nipate Kibali

Hapa chini ni picha za video nikiwa location. Kwa hakika nataka kusema kwamba Mungu wema na Upendo wake kwa wanadamu ni wa kipekee sana. Uwepo wake upo mahali popote pale ilimradi tu ujiachilie kwako na yule msaidizi wetu yaani Roho Mtakatifu anakuhudumia.






Picha hizi ni za wimbo wa album uitwao Niombeje Nipiate Kibali. Wimbo huu nikiuimba hunipa kutafakari mengi sana kuhusu wema wa Mungu kwangu na kwako pia.



Kwa hakika mpenda wangu napenda kusema ipo nguvu ya pekee kukaa miguuni kwa Mungu kwani atakufundisha na darasa lake ni la pekee. Kwa kuwa roho mtakatifu ndiye kiongozi wa kwanza . Viongozi wote chini ya jua kuna kiongozi mkuu ambaye ni Kristo Yesu  chini ya uongozi wake hakuna Majuto wala lawama ebu mpendwa wangu tuwe chini ya huyu kiongozi.