Thursday, November 6, 2014

MZEEWA UPAKO AMIMINA RISASI MTAANI!

TANZANIA YETU: MZEE WA UPAKO AMIMINA RISASI MTAANI!: Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) Ubungo-Kibangu jijini Dar, Anthony Lusekelo ‘Mzee wa Upako’ akitafakari jambo. Ishu hiyo iliyoja...

Monday, November 3, 2014

Mfahamu Atiosha Kisava

Mwanadada na mtushi wa Mungu Atosha Kisava ambaye naweza kumwelezea kama mhili wa mziki wa Injili Nchini Tanzanzani. Sikiliza aina ya mziki anaoufanya kwa hakika utaungana na mimi  kukubali kwamba ni mbegu nzuri hapa kwetu Tanzani.

Saturday, November 1, 2014

Reform Evangelical Singers

Uzinduzi wa Album  Pigana Nao ni Tar 02 -11-2014. Mahali kanisani Kigogo Police Post